Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mtendaji
wa Vodacom hapa nchini Bw. ReneMeza,
Ikulu Dar-Es-Salaam, walipokutana jana
jioni, Ijumaa Agosti 31,2012, ambapo aliishukuru kampuni hiyo ya simu za
mkononi kwakuchangia katika mradi wa kuhifadhi mbwa mwitu katika hifadhi ya
Taifa yaSerengeti, mradi unaojulikana kama Vodacom Foundation Serengeti Wild
DogsConservation Project, kwa dola za Marekani 450,000 kwa kipindi cha
miakamitatu. kumi na Moja, wamerudishwa mbugani siku ya Alhamisi Agosti30,
2012 baada ya kuhifadhiwa kwenye boma
maalumu la mradi huo, katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya
Serengeti,mkoani Mara.(Picha na Ikulu )
KAMATI YA BUNGE YA SHERIA YATEMBELEA KONGANI YA BUZWAGI NA KUPONGEZA
BARRICK KWA KUFUNGA MGODI KITAALAMU
-
Wabunge kutoka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria
wakitembelea maeneo mbalimbali walipofanya ziara ya kikazi ya kujionea
maendeleo ya ...
8 minutes ago

0 Comments