6/recent/ticker-posts

Ujenzi Barabara ya Mkunazini Zenj

Idara ya Utunzaji wa Barabara Zanzibar ikiifanyia matengenezo makubwa barabara ya Mkunazi kwa kuiwekea lami mpya ili kuboresha miundombinu ya barabara za ndani katika mji mkongwe wa Zanzibar.

 

Post a Comment

0 Comments