Makamu wa Rais Dk. Mohammed Galib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tabora mjini,Siraju Kaboyonga, aliyefariki dunia juzi na kuzikwa jana jijini Dar es Salaam. Makamu alifika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Sinza jijini Dar es Salaam jana.Katikati ni Balozi Mstaafu, Hashim Mbita na Mwenyekiti wa Chama cha Cuf, Prof.Ibrahim Lipumba.Picha na OMR
Makamu wa Rais akiagana na waombolezaji wakati akiondoka eneo hilo
RAIS DKT. MWINYI: SMZ ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA TTCL KUIMARISHA
MAWASILIANO ZANZIBAR
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali
Mwinyi, amekutana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la
Mawasili...
48 minutes ago


0 Comments