Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akikunjuwa Kitambaa ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari iliojengwa katika Kijiji cha Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja.
Mwananchi wa Kijiji cha Uzini akicheza Ngoma ya Boso kufurahia ufunguzi wa Skuli ya Secondary iliofunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein katika kijiji hicho cha Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi na Walimu wa Skuli mpya ya Sekondari iliojengwa huko Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja.
-Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akisisitiza jambo wakati akitoa Hotuba ya Ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari iliojengwa huko Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akitembezwa katika sehemu mbalimbali za Skuli Mpya ya Sekondari na Mwalimu Mkuu wa Skuli hiyo Yussuf Ali Mohd huko Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akipata maelekezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli mpya ya Sekondari Yussuf Ali Mohd baada ya kuingia katika Darasa la Compyuta huko Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja. Picha na Yussuf Simai, Maelezo
Meya ‘Shetta’ kuja na goli la Meya
-
MEYA wa Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal ‘Shetta’, amesema milango ya
ofisi yake iko wazi kwa wasanii na wanamichezo kwa jambo lolote
linaliweza ku...
0 Comments