Taarifa zilizotufikia ni kwamba Sheikh wetu Rashid Al Battashiy ametangulia mbele ya haki hii leo asubuhi baada ya kuugua kwa muda.
Innaa Lillaahi Maa Akhadha Walahu Maa A'atwaa wakullu shay-in 'Indahu liajalin Musammaa
KAMATI YA BUNGE YA SHERIA YATEMBELEA KONGANI YA BUZWAGI NA KUPONGEZA
BARRICK KWA KUFUNGA MGODI KITAALAMU
-
Wabunge kutoka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria
wakitembelea maeneo mbalimbali walipofanya ziara ya kikazi ya kujionea
maendeleo ya ...
1 hour ago
0 Comments