Wananchi wa Zanzibar wakijitokeza katika Ofisi za ZBC kujipatia Vingamuzi vya Digital vya ZBC vinavyouzwa katika majengo la Rahaleo katika kituo cha Digital, tayari huduma hiyo inapatikana kwa wananchi waliopnunua vingamizi hivyo.kama Wananchi walivyokutwa na mpiga picha akishuhudia mauzo hayo yakifanyika. kwa kijaza fomu maalum kwa wateja wa ZBC
WANANCHI KIJIJI CHA LAJA WILAYANI KARATU WAISHUKURU TASAF UJENZI SEKONDARI
MPYA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Karatu
WANANCHI Kijiji cha Laja katika Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani
Arusha wameishukuru TASAF kukubali Mradi wa kupu...
2 hours ago
0 Comments