MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Balozi Mdogo wa ChinaZanzibar Balozi Chen Quiman, alipofika Ikulu Migombani kumuuga baada ya kumaliza muda wake wa Kazi Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimsikiliza Balozi wa Mdogo wa China Zanzibar Chen Quiman,akitowa maelezo ya picha aliomkabidhi Mama Mwanamwema Shein, alipofika kumuaga Ikulu Migombani.
MATUKIO KATIKA PICHA
-
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Ndugu Bakari Machumu akiwa kwenye
picha na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
ambaye p...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments