Naibu Meya wa Jiji la Xiamen nchini China Mr. Kang Tao akibadilishana mawazo na Balozi mdogo wa China Madam Chen Qiman mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Zanzibar kwa ziara ya siku mbili kuja kuangalia fursa za uwekezaji na kubadilishana mawazo na Wafanyabishara wa Zanzibar.Baadhi ya Wafanya biashara wa China waliofuatana na Naibu Meya wa Jiji la Xiamen nchini China Mr. Kang Tao wakiwa wamepumzika kidogo mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa kimatifa wa Zanzibar kwa ziara ya siku mbili kuangalia fursa za uwekezaji na kubadilishana mawazo na Wafanyabishara Zanzibar. Balozi mdogo wa China Madam Chen Qiman akiagana na Msafara wa na Naibu Meya wa Jimbo la Xiamen China Mr. Kang Tao walipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zanzibar ziara ya siku mbili kuja kuangalia fursa za uwekezaji na kubadilishana mawazo na Wafanyabishara wa Zanzibar..(Picha na Makame Mshenga Maelezo -Zanzibar).
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
TCAA YAIMARISHA USALAMA WA ANGA KWA MIFUMO YA KISASA
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema imejizatiti kuendana na
mabadiliko ya teknolojia duniani, ikiwemo matumizi ya Akili Mnemba (AI),
ili ku...
0 Comments