Mhe Waziri wa ZanziNews akisalimiana na Rais Mstaafu wa Marekani na Balozi wa Malaria Bill Clinton alipokuwa nchini kwa ziara ya kikazi katika uwanja wa Amaan
WAFANYAKAZI TUME YA UTUMISHI WA UMMA, WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA
NGORONGORO.
-
Watumishi wa ofisi ya Rais Tume ya Utumishi wa Umma, leo Februari 4,
wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Hamisa H. Kalombola,
wametembele...
3 hours ago
3 Comments
mambo kidogo kidogo...mwisho utakunata na wakubwa wengine ! mbuyu ulikuwa kama mchicha....
ReplyDeleteNimekua nikivutiwa sana na Zanzinews. Nimefarijika kumuona waziri wake, lakini napenda kufahamu zaidi juu ya blog hii nzuri iliyobeba jina adhimu Zanzibar.
ReplyDeleteMara nyingi huhisi blog hii imefanana na Vijimambo format layout.
Good job. Hongera kwa kutupatia habari za Zanzibar na Tanzania.
Haji R. Haji. Bellevue WA. USA.
Kaka hongera sana, mwanzo mzuri!!!!
ReplyDelete