Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Uholanzi Nchini
Tanzania Jaap Frederiks,alipofika jana Ikulu Mjini Zanzibar kwa
madhumuni ya kusalimiana na Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uholanzi Nchini
Tanzania Jaap Frederiks, alipofika jana Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania
Jaap Frederiks,baada ya mazungumzo yao,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa China Nchini
Tanzania ,anayefanyia kazi zake Zanzibar Xie Yunliang,alipofika jana
Ikulu Mjini Zanzibar jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi Mdogo wa China Nchini
Tanzania,anayefanyia kazi Zanzibar Xie Yunliang, alipofika jana Ikulu
Mjini Zanzibar jana. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 Comments