Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman
Ikulu.]
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi,wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika
Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
RAIS SAMIA AWAVUTA IKULU Dk. MPANGO NA KASSIM MAJALIWA WAWE WASHAURI WAKE
-
*Asema ndio sababu za kumteua Profesa Kabudi kuwa Ofisi ya Rais Ikulu
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu H...
28 minutes ago

0 Comments