Meneja Huduna za Wateja Benki ya NMB tawi la Zanzibar Abu Msangula, akitowa maelezo ya huduma ya Benki yake kwa Viongozi na Timu ya Baraza la Wawakilishi wakati wa kukabidhi Vifaa vya Michezo jezi Seti moja kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa mchezo kirafiki na Timu ya Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano unaotarajiwa kufanyika Zanzibar katika sherehe za Mapinduzi mwakani.
KAMATI YA BUNGE YA SHERIA YATEMBELEA KONGANI YA BUZWAGI NA KUPONGEZA
BARRICK KWA KUFUNGA MGODI KITAALAMU
-
Wabunge kutoka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria
wakitembelea maeneo mbalimbali walipofanya ziara ya kikazi ya kujionea
maendeleo ya ...
1 hour ago
0 Comments