Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mohammed Salum Ndimwa na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Bihindi Hamad, wakifuatilia mchezo wa Fainal wa Karata na Bao uliofanyika katika kikao cha Karata Jangombe jumba la vigae,ikiwa ni maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 50.
Mchezo wa fainali ukiendelea kwa upinzani mkubwa
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
2 hours ago
0 Comments