Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan Shaaban akikata utepe wakati akifungua Jengo la Ofisi ya Kitengo Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto kiliopo Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Mdhamini wa kitengo Shirikishi Afya ya Mzazi na Mtoto Dkt. Ali Omar Ali akimfahamisha kitu Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan Shaaban alipokua akikagua jengo hilo mara baada ya kulifungua huko Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Waziri wa Ardhi, Makazi na Nishati Mhe. Ramadhan Shaaban akiwahutubia wageni walikwa katika ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Kitengo Shirikishi cha Afya ya mama na mtoto liliopo Kidongo Chekundu nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
MAHAFALI YA 48 YA BODI YA NBAA YAFANA
-
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa
kwenye maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 48 ya Bodi hiyo
yaliyofanyik...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
TCAA YAIMARISHA USALAMA WA ANGA KWA MIFUMO YA KISASA
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema imejizatiti kuendana na
mabadiliko ya teknolojia duniani, ikiwemo matumizi ya Akili Mnemba (AI),
ili ku...
0 Comments