Wanafunzi wa PhD wa Shanghai International Studies University wakiwa katika kikao cha mwisho cha pati ya kumaliza muhula wa masomo 2013,Jijini Shanghai.aliyesimama ni Mwanafunzi kutoka Zanzibar Idara ya Habari Maelezo Muandishi wa Habari Muandamili Juma Mohammed,akizungumza katika hafla hiyo ya kumaliza masomo yao ya muhula wa masomo kwa mwaka wa 2013. wakipongezana kwa kumaliza muhula huu kwa amani na afya njema
DMDP II YALETA MAPINDUZI YA MIUNDOMBINU MANISPAA YA TEMEKE
-
Mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam Awamu ya Pili (DMDP II)
unatekeleza ujenzi wa barabara zenye urefu wa Kilomita 51.2 kwa kiwango cha
lami na z...
44 minutes ago

0 Comments