Magari ya Baraza laManispa Zanzibar yakiwa katika viwanja vya Ofisi hizo darajani wakisubiri kukamilika kwa taratibu za kuaza kutumika kwa ajili ya kuuweka Mji wa Zanzibar katika mazingira ya Usafi, Magari haya yatakuwa changamoto kwa kuweka usafi na kupunguza mrundikano wa mataka katika sehemu mbalimbali za Unguja.
Magari haya yatumike kwa uangalifu na kuweza kutumika kama yalivyokusudiwa na kupatikwa kwa matengenezo kwa wakati ili kuweza kudumu kwa muda mrufu ili kuweza kutowa huduma ya usafi.
TARI Naliendele yashauri wakulima wa korosho kufuata hatua hizi kuleta tija
uzalishaji wa korosho nchini
-
Na Anne Robi, Mtwara
WATAALAMU wa kilimo cha korosho nchini wamewaasa wakulima kuanza kuandaa
mashamba yao kwa kufuata hatua kuu tatu na muhimu katika kul...
1 hour ago
1 Comments
Hapa zanzibar wachiliambaili ha ya magari ya kisasa hata ipatikane ndege bado mjiwetu utakuwamchafu,kwanza watu wa zanzibar wanapenda kujifanya wastaarabu huku wana vunja sheria, mtuna heshima yakea , siabu kumuona akikojoa kando ya bara bara, ikesha wanasema wanataka kupumua
ReplyDelete