Rais Kikwete afungua Hospitali mpya ya KMKM Kibweni
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo Januari 4, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo JANUARI 4, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo Januari 4, 2014
Askari wakakamavu wa kike wa KMKM wakiwa wamesimama kumlaki Rais Jakaya Mrisho kikwete alipowasili kwa ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni
PICHA NA IKULU
1 Comments
MKUU, NADHANI NI TAREHE 4, JANUARY, SIO 4 DECENBER. MBONA UNATUHARAKISHA, NDIO KWANZA TUNA WAKE WAWILI TU.
ReplyDelete