Mambo ya Vidole machoni hivyo ikiwa ni kuukaribisha Mwaka Mpya 2014 katika viwanja vya ZBC Karume House, Wafanyakazi na Wapenzi wa ZBC wakisherehekea kuingia mwaka mpya wakiburudika na Taraab ya Wajelala.
Michezo : New King Imeichapa Malindi Bao 2-1
-
Mchezaji wa Timu ya Malindi akimiliki mpira akijiandaa kumpita beki wa Timu
ya New King, katika mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2-25 /2026 mchezo
uliyo...
0 Comments