BANDARI ya malindi sehemu ya kuegeshea meli ya
Mv Sea link ikiengezwa kima cha maji kwa kuchimbwa sehemu hiyo kuwa na kima
kikubewa cha maji ili kuweza chombo kinachofunga katika eneo hilo kufunga kwa
uhakika wakati wa maji kujaa na kukupwa kwa maji.
TAFORI YAONGOZA HATUA ZA UANZISHWAJI WA JUKWAA LA WADAU WA UYOGA TANZANIA
-
Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI) kwa kushirikiana na Shirika
la ADAP (Association for the Development of Protected Areas) imeongoza
hatua z...
1 hour ago
0 Comments