Wananchi wakifuatilia magazeti mbambali kusoma vichwa vya habari vya magazeti hayo kupata kujuwa habari za ndani na je ya nchi ikizingatiwa wakati huu, Tukioa katika maandalizi ya Bunge Maalum la Katiba linalotarajiwa kuaza mwezi huu 18-2-2014 Mjini Dodoma.Wananchi wengi hupitia magazeiti kupati habari hizo.
Vodacom Tanzania Yawekeza Dola Milioni 28 Kuimarisha Mustakabali wa M-Pesa
-
Timu ya Vodacom Tanzania ikiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukamilisha
mabadiliko ya huduma ya M-Pesa kwenda mfumo mpya wa kisasa wa fintech 2.0.
Tuk...
4 hours ago
0 Comments