Wachuuzi wa samaki katika bandari ya malindi Zanzibar wakiwa katika mnada wa soko hilo wakinunua samaki kutoka kwa wavuvi wanaowasili katika bandari hiyo ya asili katika visiwa vya Unguja. Katika kipindi hicho samaki wamekuwa na bei kubwa kutokana na hali ya bahari kuwa na upepo na mawimbi makubwa katika kipindi hichi na bidhaa hiyo kuwa na bei juu katika mnada huo.
HALI YA USALAMA JIONI HII NOVEMBA 10, 2025
-
JESHI la Polisi linapenda kujulisha kuwa, hadi jioni hii ya tarehe
10.12.2025 hali ya nchi kiusalama ni shwari na shughuli za kiuchumi na
kijamii zimee...
49 minutes ago
0 Comments