Watalii wanaotembelea katika Visiwa vya Zanzibar hupata fursa za kutembelea maeneo ya Historia na vivutio vya Utalii ndani ya Zanzibar na vitongoji vyake. Kama wanavyoonekana Watalii hawa waliofika Zanzibar wakipata historia ya Nyumba ya Marcury ilioko katika mtaa wa shangani ndani ya mji mkongwe wa Unguja.Wageni wengi wanaotembelea Zanzibar hufika katika nyumba hii ikiwa katika medali ya historia ya Zanzibar.
BODI YA NISHATI VIJIJINI (REB) YARIDHISHWA NA USAMBAZAJI WA GESI ASILIA
MKOANI PWANI
-
*📌 Bilioni 6.8 zaongeza matumaini ya nishati safi Kisemvule, Pwani*
*📌 Wananchi wengi zaidi kusambaziwa gesi asilia kwa mkoa wa Pwani na Lindi*
Kisemvu...
20 minutes ago
0 Comments