Ziara ya kikazi ya ujumbe wa wadi za Makunduchi imemalizia kwenye makumbusho ya watu wajulikanao Sami, ambao maisha yao ni kama ndugu zetu Wamasai. Ziara ya kwenye kumbusho ni muhimu kwani wadi za Makunduchi zina azma ya kuanzisha kumbusho lake. Kutoka kushoto ni ndugu Mohd Simba, Abdallah Ali Kombo, mwalimu Haji Kiongo, Mohamed Muombwa na bi Mariam, diwani wa Mtegani.
TAIFA STARS YAFUZU HATUA YA MTOANO AFCON
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars imefanikiwa kufuzu hatua ya mtoano
ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) kw...
7 hours ago
0 Comments