Msikiti wa Kibweni Msheli shelini jirani na majengo ya Mh:
Raza unahitaji mchango wako kwani umo katika eneo la utanuzi wa barabara. Hivyo
waislamu wamejitolea kuuza nyumba zao zilizojirani na msikiti huo kwa ajili ya
kupisha upanuzi wa mskiti huo.
UPATIKANAJI WA DAWA WAIMARIKA NCHINI
-
OWM-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM– TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya Afya, Mhe. Dkt. Jafari ...
15 hours ago


0 Comments