Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe. Hamad Yussuf Masauni (kushoto) akimsikiliza kwa makini Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi jimbo la Kikwajuni Mhe Mahmour Mohammed Mussa,alipofika kuzungumza masuala ya jimbo lao katika viwanja vya Baraza Chukwani wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano ili kupanga mikakati ya Jimbo lao katika miradi ya maendeleo ya jimbo ikizingatiwa Jimbo likiwa na Mradi Mkubwa wa Usambazaji wa Maji Safi na Salama kwa Wananchi wao.
TRA PWANI YAKAMATA BIDHAA ZA MAGENDO BANDARI YA BAGAMOYO
-
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Pwani imekamata bidhaa mbalimbali
za magendo katika Wilaya ya Bagamoyo ikiwemo viroba 50 vya mchele, madumu
10 ya ...
12 hours ago
0 Comments