Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifutarisha watendaji wa Ofisi yake nyumbani kwake Mbweni Zanzibar. Miongoni mwao ni Watu Wenye Ulemavu wa aina mbali mbali. (Picha na Salmin Said, OMKR)
Washiriki 37 kutoka Afrika Wahitimu Kozi za Udhibiti wa Anga CATC
-
Jumla ya washiriki 37 kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Uganda(UCAA),
Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Somalia(SCAA) na nchi za Sierra Leone,
Liberia na ...
3 hours ago
0 Comments