WANAKIKUNDI cha upandaji mboga mboga,
mikoko, na uhifadhi wa mazingira wa mazingira cha Tundauwa wilaya ya Chake
chake Pemba, wakiwa kwenye shamba lao la muhogo waking’oa tayari kwa ajili
kuupeleka sokoni (picha na Haji Nassor,
Pemba)
MADEREVA VIP POLISI WATAKIWA KUIMARISHA ULINZI, KUEPUKA AJALI
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Madereva wa viongozi mashuhuri (VIP) wa Jeshi la Polisi wametakiwa kuweka
mbele jukumu lao la msingi la kulinda maisha y...
1 hour ago
0 Comments