AKINA mama wa kikundi cha Jumuika cha Pembeni Mavungwa wilaya ya Chake Chake, wakiwa katika kazi za ufinyanzi wa Vyungu,Mikungu na viotezo kama walivyokutwa na mpiga picha wetu. (Picha na Ussi Faki, Pemba.)
“WCF, NIT Waungana Kupunguza Ajali Barabarani na Kulinda Nguvu Kazi ya
Taifa”
-
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma,
amesema kuwa ushirikiano kati ya WCF na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji
(NIT) u...
1 hour ago
0 Comments