Mwananchi huyu akikatisha njia kwa kupanda ukingo wa barabara unaogawa barabara mbili katika maeneo ya mwanakwerekwe na kusababisha msongamano wa magari na kuhatarisha watumiaji wa bara hiyo inaweza kusababisha ajali na kukiuka sheria za barabara kupita sehemi isiyo husika kama hii. Tusema dereva huyu kweli ana maadili ya utumizi wa barabara na ana leseni halali
SAFARI YA KUZAA NA KUHAMA KWA NYUMBU YATUA FITUR HISPANIA
-
Na Mwandishi wetu.
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia taasisi zake inaendelea kunadi
vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania katika maonesho ya FITUR
y...
14 minutes ago
0 Comments