Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia na kutoa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam waliohudhuria maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad yalioandaliwa na Taasisi ya Samael Academy yaliofanyika katika Msikiti wa Gombani Chakechake Kisiwani Pemba.

Kiongozi wa Taasisi ya Samael Academy sheikh Said Nassor Abdalla, akisoma
risala ya Taasisi hiyo, wakati wa sherehe za Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW)yalioadhimishwa katika msikiti mkuu wa Gombani kisiwani PembaPemba,
Baadhi wa waumini wa dini ya kiislamu
waliohudhuria maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika msikiti wa
Gombani Chake Chake Pemba, ambayo yameandaliwa na taasisi ya Samael Academy na
kuhutubiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe: Baloz Seif Ali Idd,
Wanafunzi wa Samael Acadamy wakisoma Historia ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad kwa lugha ya kiarabu wakati wa sherehe ya maulidi ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) yaliofanyika katika msikiti wa gombani kisiwani Pemba.
Wanafunzi wa Vyuo mbali mbali vya Qur-an kisiwani Pemba, ambao wamehudhuria kwenye maulid ya
kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika Msikiti wa Gombani kisiwani Pemba na kuhudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

0 Comments