Askari wa Manispa Zanzibar wakiwa katika harakati za kuliondosha gari iliopakiwa katika eneo halistahiki kupaki magari katika eneo Shirika la Bandari Malindi Zanzibar.
Likivutwa na Gari maalum ya kuchukulia magari bila ya kuleta uharibifu wa gali linalochukuliwa.i
MTENDAJI MKUU ADEM YASISITIZA UWAJIBIKAJI NA UMOJA KWA WATUMISHI
-
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM), Dkt.
Maulid J. Maulid, amefanya kikao kazi na watumishi wa taasisi hiyo kutoka
kampasi zot...
12 minutes ago
0 Comments