6/recent/ticker-posts

Makamu wa Rais Dkt.Bilal Ahudhuria sherehe za Kusimikwa Askofu Mkuu Jimbo la Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Sherehe ya Kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya iliyofanyika leo katika Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya baada ya kusimikwa rasmi kwenye  Sherehe  iliyofanika leo katika Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu mbalimbali waliohudhuria sherehe ya kusimikwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya kwenye Sherehe  iliyofanika leo Januari 18, 2015 katika Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma. (Picha na OMR)

Post a Comment

0 Comments