MBUNGE wa jimbo la Wawi Kisiwani Pemba, Mhe: Hamad
Rashid Mohamed analiwakilisha bunge Tanzania katika bunge la Europa,
akiwaonesha wabunge wenzake wa Europa kutoka nchini Ireland, mwani unaolimwa na
wananchi wa Tumbe Wilaya ya Micheweni kisiwani Pemba, wakati wa ziara ya
wabunge hao wa AWEPA.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba, Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na wabunge wa Bunge la Awepa kutoka nchini Irelanda, walipofanya ziara ya kutembelea bwawa la kufugia samaki huko Mwambe, katika ziara yao ya kuangalia miradi ya wananchi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Kongole NECTA kwa mpango kupanda miti 150,000 kutunza mazingira
-
Na: Dk. Reubeni Lumbagala
Utunzaji wa Mazingira ni jukumu letu sote. Uwe mtoto, kijana, mtu mzima au
mzee. Uwe mwanamke au mwanamme, uwe msomi au usiwe m...
37 minutes ago
0 Comments