Mwenyekiti wa Jumuiya ya
watu wanaoishi na Saratani Zanzibar Dkt. Msafiri Marjani akitoa elimu juu ya
ugonjwa wa Saratani katika mkutano wa maadhimisho ya siku ya Saratani Duniani uliofanyika
ofisini kwao Mpendae Zanzibar.
Naibu Waziri wa Afya
Mhe. Mahamoud Thabit Kombo akizunguza na wajumbe na waandishi wa habari jinsi
ya kuwaelimisha wananchi juu ya kupambana na ugonjwa huo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya
watu wanaoishi na Saratani Zanzibar Dkt. Msafiri Marjani akitoa elimu juu ya
ugonjwa wa Saratani katika mkutano wa maadhimisho ya siku ya Saratani Duniani uliofanyika
ofisini kwao Mpendae Zanzibar.
Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya
ya watu wanaoishi na Saratani Zanzibar Bi. Mwanahamisi Moh’d Abdalla ambae pia
ni muhanga wa ugonjwa wa Saratani akitoa ufafanuzi jinsi alivyopambana na
ugonjwa huo na hatimaye kupona kabisa katika siku ya maadhimisho ya siku ya Saratani
Duniani kwa upande wa Zanzibar.
Mwandishi wa habari wa Shirika
la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Nd. Abdi Shamna akiuliza swali kuhusiana na
Tenzi Dume wakati wa maadhimisho hayo.(Picha na Abdalla Omar - Maelezo)

0 Comments