WANAFUNZI wahitimu wa Chuo cha Zanzibar College Business Education ZCBE, kilichopo mejengo ya Chuo cha Amali Vitongoji Chake chake Pemba, wakifanya matayarisho ya kabla ya kufanyika kwa mahafali ya kwanza ya chuo hicho ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Pili wa rais Zanzibar Mhe: Balozi Seif Ali Idd, Jumamosi (picha na Haji Nassor, Pemba).
SWADAKA NI NGAO NA KINGA YA MADHAMBI KWA MWENYE KUITOA KWA AJILI YA ALLAH –
MISANGA
-
Taasisi ya Ramadhan Charity Programme 2026 imewataka Watanzania kutumia
mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa wamoja, kusaidiana na kufanya kazi kwa
pamoja ka...
4 hours ago
0 Comments