MTENDAJI wa chuo cha biashara na elimu Zanzibar, Z.C.B.E Ahmed Mohamed akizungumza na wanafunzi juu ya matayarisho ya mahafali ya kwanza ya chuo hicho, yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi, chuo cha Amali Vitongoji Chake Chake Pemba, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa pili wa rais Zanzibar Mhe: Balozi Seif Ali Idd, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025, kikao kilicholenga kufanya tathmini ya
uteke...
1 hour ago
0 Comments