Mwakilishi wa Jimbo la Stone, Town, Zanzibar Mhe. Ismail Jussa kupitia chama cha wanainchi CUF ambae pia mjumbe wa UKAWA aliweza kuongea na waTanzania waishio. (DMV) na kumuuliza maswali mbali mbali kuhusu mustakabali wa nchi yetu, Siku ya Jumamosi Feb 28, 2015.
WANANCHI KIJIJI CHA LAJA WILAYANI KARATU WAISHUKURU TASAF UJENZI SEKONDARI
MPYA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Karatu
WANANCHI Kijiji cha Laja katika Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani
Arusha wameishukuru TASAF kukubali Mradi wa kupu...
3 hours ago
0 Comments