6/recent/ticker-posts

Mradi wa maji safi na salama wazinduliwa Kiwani, Pemba

 AFISA Mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na watoto Pemba Mhe: Mauwa Makame Rajab, akikunjuwa kitambaa kuashiria ufunguzi wa mradi wa maji safi na salama huko Kiwani, ulijengwa kwa nguvu za Serikali na kugharimu zaidi ya Milioni 82.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 AFISA mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto Pemba Mhe:Mauwa Makame Rajab, akizungusha koki ya maji kuashiria uzinguzi wa mradi wa maji katika shehia ya kiwani, uliojengwa kwa nguvu za Serikali ambapo umegharimu Zaidi ya milioni 82.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
AFISA Mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na watoto Pemba Mhe: Mauwa Makame Rajab, akipata maelezo ya mradi wa maji safi na salama huko kiwani, uliojengwa kwa nguvu za Serikali na kugharimu zaidi ya Milioni 82.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA.)

Post a Comment

0 Comments