Imekuwa ni jambo la kawaida kwa maderevya wa daladala kukiuka sheria ya usalama
barabarani kwa kuegesha daladala katika
eneo siyo salama kwa watumiaji wa barabara hiyo na kuleta usumbufu kwa wakati
wakiwa wameegesha, kama inavyoonekana daladala hizi zikiwa katika eneo la donge
zikiwa zimeegeshwa kinyume na utaratibu wa sheria za barabara
FCC yatoa elimu kwa wananchi wa Chalinze
-
Maafisa wa kulinda walaji kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wametoa elimu kwa
wananchi wa Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani kuhusu haki na wajibu wa
mlaj...
1 hour ago
0 Comments