Mkurugenzi Mkuu wa PBZ, Zanzibar, Juma Amour Mohamed, akifungua warsha ya siku moja juu ya huduma
zianzotolewa na Islamic Bank, warsha iliyofanyika Hifadhi hoteli kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
PROFESA Manzer Kahf
akiwasilisha mada kwa wananchi juu ya Umuhimu wa Islamic Bank, warsha hiyo
iliyofanyika Hifadhi Hoteli Kisiwani Pemba.
(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
0 Comments