6/recent/ticker-posts

Mwendo Kasi Husababisha Ajali, Tuepushe Ajali Zembe

Wananchi wakiangalia gari iliopata ajali katika barabara ya mazizini Fumba, baada ya kupoteza muelekeo na kuingia katika mtoro wa barabara hiyo kama inavyoonekana gari hii yenye namba za usajili Z 870AU, iliacha njia na kuingia katika mtaro huo. Katika ajali hiyo hakuna Mtu aliyejeruhiwa  


Post a Comment

0 Comments