Kaimu Mkurugenzi Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushireikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe alipotembelea banda la PBZ wakati wa maonesho ya Kongamalo la Madiaspora linalifanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar-es-Salaam.PBZ, inatowa hutuma za kibenki kwa Diaspora walioko nje ya Tanzania katika masuala ya kibenki kuweka.
UPATIKANAJI WA DAWA WAIMARIKA NCHINI
-
OWM-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM– TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya Afya, Mhe. Dkt. Jafari ...
16 hours ago


0 Comments