MJUMBE wa kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe: Balozi Seif
Ali Iddi, akizungumza na wanachama na wapenzi wa CCM huko Mitambuuni Mtambwe
Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, mara baada ya kuizindua maskani ya
Vumilia ya Vijana waliohama CUF na kujiunga na CCM.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
INEC : Wananchi Peramiho, Shiwinga kupiga Kura kesho kuchagua Mbunge, Diwani
-
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs
Mwambegele akisoma risala maalum kuhusu uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika
Jimbo la...
36 minutes ago
0 Comments