MASK YA ASALI, NDIZI MBIVU na NDIMU kwa WALE WENYE USO WA MAFUTA Kama mlivyoomba wadau kwa wale wenye USO wenye MAFUTA mengi hii ni MASK unayoweza kutumia ukiwa nyumbani na ikakuaaidia. Nini cha kufanya:- 1. Ponda ponda NDIZI MBIVU MOJA mpaka iwe laini kabisa 2. Chukua KIJIKO KIMOJA CHA ASALI 3. Chukua KIJIKO KIMOivu JA CHA NDIMU 4. Changanya kwa pamoja vitu hivyo vizuri.
5. Paka mchanganyiko huo kwenye uso msafi kama inavyoonekana kwenye
picha na kaa nao kuanzia dakika 15 hadi 30 kisha osha na maji ya
uvuguvugu. Unaweza tumia mask hii mara moja kwa siku. Imeandaliwa na Honey Spring kwa kushirikiana na Jamiimojablog, Kwa mahitaji yako ya ASALI wasiliana nasi 0683370065 au 0769129351, karibuni sana
UPATIKANAJI WA DAWA WAIMARIKA NCHINI
-
OWM-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(OWM– TAMISEMI) anayeshughulikia masuala ya Afya, Mhe. Dkt. Jafari ...
MAHAFALI YA 48 YA BODI YA NBAA YAFANA
-
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa
kwenye maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 48 ya Bodi hiyo
yaliyofanyik...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments