6/recent/ticker-posts

Mkutano wa wadau wa biashara wafanyika Zanzibar

 Mrajisi Bodi ya Chakula Dawa na Vipodozi Dk,Burhani Othman Simai akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika mkutano wa Wadau wa Biashara kuwafahamisha miongozo mipya ilotengenezwa pamoja na wataalamu wa Nchi za Afrika mashariki katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanzibar.

 Naibu katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Maulid akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa Wadau wa Biashara kuwafahamisha miongozo mipya ilotengenezwa pamoja na wataalamu wa Nchi za Afrika mashariki katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanzibar.
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Halima Maulid(wapili kushoto)akiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi na Wadau wa biashara katika mkutano wa Wadau wa Biashara kuwafahamisha miongozo mipya ilotengenezwa pamoja na wataalamu wa Nchi za Afrika mashariki katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanzibar.
 Afisa kutoka Sectariate ya Jumuia ya Afrika Mashariki iliopo Arusha  John Patrik akitoa hotuba yake katika mkutano wa Wadau wa Biashara kuwafahamisha miongozo mipya ilotengenezwa pamoja na wataalamu wa Nchi za Afrika mashariki katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanzibar.

 Baadhi ya Washiriki waliohudhuria katikamkutano wa Wadau wa Biashara kuwafahamisha miongozo mipya ilotengenezwa pamoja na wataalamu wa Nchi za Afrika mashariki katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanzibar.
 Mkuu wa Idara ya Dawa na Vipodizi Bora Lichanda akitoa maelezo kuhusu udhibiti wa bidhaa katika mkutano wa Wadau wa Biashara kuwafahamisha miongozo mipya ilotengenezwa pamoja na wataalamu wa Nchi za Afrika mashariki katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanzibar.


Mmoja kati ya washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Biashara Dk,Ali Omar akitoa mchango wake kuhusiana na masuala mbalimbali yalioelezwa ya kibiashara  katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanzibar.

Coordinator kutoka HSPS Ali Hassan Suleiman akitoa mchango wake katika mkutano wa Wadau wa Biashara kuwafahamisha miongozo mipya ilotengenezwa pamoja na wataalamu wa Nchi za Afrika mashariki katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

Post a Comment

0 Comments