BADO wapo baadhi ya wasimamizi wa sheria
ndani ya Jeshi la Polisi, wamekuwa na kigugumizi kutii sheria bila ya shuruti,
ambapo askari trafik kisiwani Pemba, akiwa amepanda vespa yenye namba za
usajili Z 598 FG bila ya kuvaa kofia ngumu ‘helmet’ kama alivyokutwa na mpiga
picha wetu- katikati ya mji wa Chake chake kisiwani Pemba.
MADEREVA VIP POLISI WATAKIWA KUIMARISHA ULINZI, KUEPUKA AJALI
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Madereva wa viongozi mashuhuri (VIP) wa Jeshi la Polisi wametakiwa kuweka
mbele jukumu lao la msingi la kulinda maisha y...
9 hours ago
0 Comments