Mgombea urais kupitia ADC Mhe Hamad Rashid Mohammed akifungua rasmi kampeni katika kisiwa cha Pemba katika kiwanja cha Gombani ya Kale leo hii. mkutano ulianza saa 8 mchana hadi saaa 12 jioni. Picha na Khamis Kidege, Pemba
SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED SASA YAENDA HADI NGAZI YA SHAHADA YA UZAMILI
(MASTERS)
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Adolph Mkenda afungua mlango wa
mazungumzo kwa Taasisi na Makampuni mbalimbali kuunga mkono juhudi za Rais
Dkt...
39 minutes ago
0 Comments