WAFUASI wa Chama cha Wananchi CUF Kisiwani Pemba, wakimsikiliza mgombea urais wa chama hicho Mhe: maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba
WAANDISHI wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari , wakiwa kazini katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa chama cha wananchi CUF, uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
KIKUNDI cha wasanii kutoka wilaya ya Wete
wakiwaburudisha viongozi na wanachama wa chama cha wananchi CUF, waliohudhuria kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni ya mgombea urais uliofanyika uwanja wa Tibirinzi
Chake chake kisiwani Pemba, (Picha na
Haji Nassor, Pemba).
VIONGOZI wa chama cha maendeleo na Demokrasia
CHADEMA waliohudhuria katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni ya chama cha
wananchi CUF (UKAWA), uliofanyika uwanja wa Tibirinzi Chake chake Pemba, (Picha na Haji Nassor Pemba)..
NAIBU Katibu Mkuu wa chama cha wananchi
CUF Nassor Ahmed Mazrui akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa kumnadi
mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF, (Picha na Haji Nassor Pemba,).
MGOMBEA urais wa chama cha wananchi CUF
maalim SEIF Sharif Hamad akizungumza na wafuasi wa chama hicho katika mkutano
wa hadhara wa uzinduzi wa kampeni uliofanyika katika kiwanja cha Tibirinzi
Chake chake Kisiwani Pemba, (Picha na
Haji nassor, Pemba).
0 Comments