MRATIBU wa kongamano la kuadhimisha siku ya
kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo, Khalfan Amour Mohamed lililofayika mjini
Chake chake, na kutayarishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi
la Pemba, kulia ni Afisa mipango wa ZLSC Siti Salim Habibu na kushoto ni Afisa
Mdhamini wizara ya Katiba na Sheria Omar Khamis Juma akifuatiwa na Mratibu wa
ZLSC, Fatma Khamis Hemed, (Picha na Haji
Nassor, Pemba).
WASHIRIKI wa Kongamano la kuadhimisha siku ya
kupinga adhabu ya kifo, ambalo hufanyika kila ifikapo Oktoba 10 ya kila mwaka,
ambalo limefanyika mjini Chake chake na kutayarishwa na Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ZLSC, tawi la Pemba, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
MRATIBU wa Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed akielezea jambo kwenye
kongamano la siku moja la kuadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo, kulia ni Mratibu
wa Kongamano hilo Khalifan Amour Mohamed na katikati ni Afisa Mdhamini wizara
ya Katiba na sheria Pemba, Omar Khamis Juma, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
AFISA Mdhamini wizara ya Katiba na Sheria
Pemba, Omar Khamis Juma akifungua Kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku
ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo, lililotayarishwa na Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, kulia ni Afisa Mipango wa ZLSC Siti Salim
Habibu na kushoto ni Afisa Mipango wa ZLSC Fatma Khamis Hemed, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MSHIRIKI wa kongamano la maadhimisho ya siku
ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo, ambae ni mwafunzi wa Chuo cha ZCBE
akichangia jambo kwenye kongamano hilo lililotayarishwa na Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba na kufanyika mjini Chake chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
0 Comments