KATIBU Tawala Mkoa wa Kusini Pemba, Amed
Khalid akifungua mafunzo ya siku moja ya utatuzi wa kauli za chuki,
yalioyatarishwa na Baraza la Habari Tanzania MCT afisi ya Zanzibar, na
kufanyika uwanja wa Gombani Chake chake, kulia ni Meneja wa redio jamii Mkoani
Ali Abass Omar na kushoto ni Mtaribu wa ZLSC Pemba, Fatma Khamis Hemed, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
DKT. CHAYA: UWEKEZAJI WA VIWANDA NI NGUZO YA AJIRA, MASOKO YA WAKULIMA NA
UCHUMI WA TAIFA
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Jambo Group of Companies, Mhe. Salum Khamis akieleza
hatua za uzalishaji pamoja na uwekezaji uliofanyika kiwandani.
Mkurugenzi wa K...
6 hours ago

0 Comments